KWA MAONI AU USHAURI TUMA KWA E-mail: lovenessbernard@gmail.com

Saturday, January 10, 2015

SEND OFF PARTY YA REHEMA ILOFANYIKA KATIKA UKUMBI WA KIRAMUU

PICHA ZA SHEREHE YA REHEMA

  Rehema na wapambe wake wakiwa saluni 


Mwaaaaaaa! maids haoo!

 Wapambe wa Rehema katika pozi maridadi




 Rehema katika pozi matata balaaa!






Rehema na walinzi wake 


Utundu unapotumika kuipendezesha picha




             Wacha kabisa mdada katika pozi matata



     muonekano wa stage katika ukumbi wa kiramuu
    Keki maalumu ya sherehe hiyo


    Maids wakiingia ukumbini kumfungulia njia Rehema


    Wacha weeeeeeee











    Asante Mwenyekiti na kamati yako pokea keki kutambua umuhimu wenu kwangu


Rehema akifungua shampeni maalumu kwa ajili ya sherehe yake 



    Rehema na marafiki zake Neema na  Mmewe wakiwa katika pozi la picha


    Keki ya asili maarufu kama ndafu








Rehema akiwaonyesha waalikwa na ndugu zake chaguo la moyo wake

    Hata kucheza tunaweza kaa mbali nasi

    Bi harusi mtarajiwa akimpa mmewe mtarajiwa zawadi ya tisheti yenye onyo

    Wacha weee hata kucheza tunajua pia

Rehema na dada zake wakimtunza mama